Watu 33 wamepoteza maisha katika ajali mbaya ya barabarani iliotokea usiku wa kuamkia Jumanne kwenye umbali wa kilometa 30 ...
Ajali za barabarani zinatajwa kuwa ndio zinasababisha vifo vingi vya watoto na vijana duniani, kwa mujibu wa shirika la afya duniani(WHO). Shirika hilo la afya limechapisha ripoti ambayo inabainisha ...
Ajali hii bado haijaelezwa. Mamlaka ya Brazili inafanya kazi Jumamosi Agosti 10 ili kuopoa miili ya wahanga 62 wa ajali ya kusangaza ya ndege karibu na Sao Paulo, kusini-mashariki mwa Brazili, huku ...
Ajali hiyo inaendeleza msururu wa ajali zinazoshuhudiwa nchini humo licha ya ripoti ya Shirika la Afya Ulimwenguni, WHO, kuonesha kwamba ajali zimepunguwa ulimwenguni. Kulingana na ripoti za polisi, ...
Sambamba na hilo, Ayoub amewakumbusha viongozi wa madereva wa mabasi na malori, wamiliki wa vyombo vya usafiri pamoja na viongozi wa bodaboda kuhakikisha wanawasisitiza wanachama wao kuzingatia ...
Jeshi la polisi nchini Tanzania limesema ajali za barabarani zilizotokea katika kipindi cha mwezi Januari hadi Desemba mwaka 2024 zilikuwa 1,735. Kwa mujibu wa jeshi hilo, ajali 1,198 kati ya hizo ...